Mungu Ajibu Maombi

Mungu Ajibu Maombi Lyrics

Unapoomba, nitaje Jina omba Mungu anikumbuke, 
Ni mnyonge mimi sina uwezo, kwa maombi 'tapata nguvu. .

Unapoomba omba kwa Imani maombi atayasikia, 
unapoomba uwe mnyenyekevu, maombi atayajibu. .

Kulala kwetu, kuamka kwetu, kuishi kwetu ni Neema, 
tumaini letu li kwako Bwana, Abudu, ungama, 
shukuru kwa dua zetu, tumaini letu li kwake Bwana. .

Mungu ajibu maombi maombi ya watu wake. 
Uliza, amini, pokea shukuru, 
lingana ahadi zake ombi lako litajibiwa.


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mungu Ajibu Maombi:

0 Comments/Reviews