Niache Niimbe - siku moja Lyrics - Pitson

Pitson swahili

Niache Niimbe - siku moja Lyrics

Siku moja mama nitakujengea , Nyumba ya kifahari uishi poa mama, na pesa za muziki
Siku moja baba nitakununulia, gari la kifahari uendeshepoa baba, na pesa za muziki
Siku moja dada nitakulipia, karo ya shule, uende university, na pesa za muziki
Siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa, uwe sonko brother, na pesa za muziki

Ikiwa ntakua rubani , niendeshe ndege, niwe rubani , rubani anaimba
na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba
Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali , niwe waziri, waziri anaimba
Oh popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba.

Mama na baba naomba mniache niimbe
Niache niimbe, niache niimbe, niache, niache niimbe.
Shule nitaenda lakini niache niimbe,
Niache niimbe, niache niimbe, niache,niimbe.
kazi nitafanya lakini mniache niimbe
Niache niimbe, niache niimbe, niache,niimbe.
Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili
Niache niimbe, niache niimbe, niache,niimbe.

Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu,
Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu
Hakuna anayeweza hajapewa kitu cha kufanya,
Mungu ni mwaminifu, Mungu ni mwaminifu,
Wengine wanauza nguo gikosh
Wenginewanashona ah,
Wengine wamekonda wanakimbia, mabouncer wameshona.
Wengine maodijo, polisi, ma CEO, ma M.D,
ma H.U.S.T.L.E.R mahustler

Ikiwa ntakua rubani , niendeshe ndege, niwe rubani , rubani anaimba
na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba
Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali , niwe waziri, waziri anaimba
Oh popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba.
Niache niimbe, niache niimbe, niache, niache niimbe.
Shule nitaenda lakini niache niimbe,
Niache niimbe, niache niimbe, niache,niimbe.
kazi nitafanya lakini mniache niimbe
Niache niimbe, niache niimbe, niache,niimbe.
Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili
Niache niimbe, niache niimbe, niache,niimbe.

Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba
Uniache niimbe, uniache niimbe, uniache niimbe, uniache
Uniache niteremke mama , teremke mama, teremke mama, eh
Uniache niimbe, uniache niimbe, uniache niimbe, uniache
oh Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba
Uniache niimbe, uniache niimbe, uniache

Niache Niimbe - siku moja Video