Siwezi Lyrics - Ruth Wamuyu

Ruth Wamuyu swahili

Chorus:
Siwezi siwezi (Mungu wangu)
Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitaji)
Siwezi Siwezi (Mungu wangu)
Bila wewe Yesu siwezi

Siwezi Video

Buy/Download Audio

Siwezi Lyrics

Waniandalia meza mbele ya maadui zangu 
Waniandalia meza Mbele ya maadui zangu ooh 
Nilee eeh ninywee eeh 
Mbele ya maadui zangu ooh 
Nilee eeh ninywee eeh 
Mbele ya maadui zangu ooh  .

Siwezi siwezi (Mungu wangu) 
Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitaji)
Siwezi Siwezi (Mungu wangu) 
Bila wewe Yesu siwezi  .

Siogopi ni salama ukiwa karibu nami 
Siogopi ni salama ukiwa kaaribu nami 
Wanichunga wanitunza siogopi ukiwa na mimi 
Wanitunza wanichunga Siogopi ukiwa na mimi  .

Siwezi siwezi (Nainua mikono yangu) 
Bila wewe yesu siwezi (masiaa eeh nakuhitji) 
Siwezi (Mchungaji mwema) Siwezi (Kilaa saa) 
Bila wewe Yesu siwezi  .

Siwezi nainua mikono yangu Massiah eeh 
Nakuhitajii mchungaji mweema Kila saa aye eeh 
Mfariji kila saa sitishiki ukiwa name 
Mfariji kila saa sitishiki ukiwa nami 
Gongo lako, fimbo lako wafariji moya wangu 
Gongo lako, fimbo lako wafariji moyo wangu  .

Siwezi siwezi (Bila wewe) 
Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitaji)
Siwezi(nakuhitaji) Siwezi (nakuhitaji) 
Kila saa
Bila wewe Yesu siwezi 
(Siwezi bila wewe) siwezi 
(Siwezi bila wewe) siwezi 
Bila wewe Yesu siwezi ...  .

Wema na fadhili zako zinifuate 
Ntadumu nyumba yako milele