Martha Mwaipaja - KWA NEEMA Lyrics

KWA NEEMA Lyrics

Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu  

Kwa neema tu
Kwa neema tu
Tunaendela kwa neema tu
Hatukati tamaa kwa neema tu
Sisi hatukuangamia kwa neema tu
Hatukupoteza vya kwetu kwa neema tu
Si kwamba sisi ni wema kwa neema tu

Kuna neema inatutupa ushindi
Kuna neema inayotutambulisha 
Kuna neema iliyotufanya tuwe salama
Kuna neema inayotutangulia zaidi
Kwa neema tu tumeshinda magumu yale
Kwa neema tu tumeshinda dhiki shida

Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu  

Kwa neema ya mungu sisi ni washindi
Kwa neema ya mungu adui hatuwezi
Kwa neema tu vita tumeshinda

Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu
Kwa neema tu  




KWA NEEMA Video

Martha Mwaipaja Songs

Related Songs