Martha Mwaipaja - Sipiganangi Mwenyewe Lyrics

Contents:

Sipiganangi Mwenyewe Lyrics

Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio Sishindanangi Mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba

Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Mwenzio Sishindanangi Mwenyewe
Mimi Vita sijui 
Mimi Vita siwezi
Asema nitulie atajibu

Kuna majira Vita huja kwangu
Kuna majira watesi waliniukia
Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe
Nikasikia Sauti Sauti imebeba Ushindi wangu 
Ikaniambia Mimi Ni Baba yako

Usipigane mwenyewe mwanangu
Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio Sishindanangi Mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio Vita nimekataa 
 


Martha Mwaipaja Songs

Related Songs