Goodluck Gozbert - Neno Lyrics

Contents:

Neno Lyrics

Neno, Neno, Neno, Neno
Neno, Neno, Neno, Neno
Neno, Neno, Neno, Neno
Neno, Neno, Neno, Neno

Niongoze hatua zangu neno
Nipate kukulika nami tu
Ukiniruhusu hayo majaribu
Nisome na nipate na majibu

Nimekuamini, wewe mshindi duniani
Nimekuamini, unatawala mbinguni

Eeh nikilijua neno, neno
Maisha ya amani, amani
Nikilijua neno, neno
Maisha ya amani, amani

Nifunikwe na neno
Niishi neno
Litimie neno
Tembea neno, neno

Nifunikwe na neno
Liwe neno
Neno neno, neno

Dunia hii dunia hii
Yauona hii, 
Dunia hii duniaa hii
Utapeli hii

Nikifunikwa kwa neno kuna uzima
Nikiongozwa na neno kuna kufika
Eeh kwako salama, ni salama
Kwingine ni vita oh ni vita
Njia zako salama Yesu, ooh salama
Kwingine ni vita oh ni vita

Ila upendo wako kanitosha
Nguvu zako nia fika
Neno hausemi uongo wewe ni uhai
Tena haubadiliki

Eeh nikilijua neno, neno
Maisha ya amani, amani
Nikilijua neno, neno
Maisha ya amani, amani

Nifunikwe na neno
Niishi neno
Litimie neno
Tembea neno, neno

Nifunikwe na neno
Liwe neno
Neno neno, neno

Dunia hii dunia hii
Yauona hii, 
Dunia hii duniaa hii
Utapeli hii
 


Goodluck Gozbert Songs

Related Songs