Mlima Sayuni / Milima yayeyuka Lyrics

Dr Ipyana swahili

Chorus:
ilima yayeyuka mbele Zako,
The mountains evaporate before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
Bridge all:
(Nani kama Wewe Bwana,
Who is like You LORD?
Nani kama Wewe)
Who is like You?

Mlima Sayuni / Milima yayeyuka Video

Buy/Download Audio

Mlima Sayuni / Milima yayeyuka Lyrics

Unamiliki anga, jua mwezi na nyota,
You Hold the firmament, sun, moon and stars
Mkono Wako Umevifanya,
Your Hand Has Created them,
Pumzi Yako Imevifanya,
Your Breathe has made them.
 
Tumekuja mlima SAYUNI,
We’ve come to Mount ZION,
Kukusifu, Kukuabudu,
To Praise You, to Worship You
Maserafi Makerubi,
The cherubim, the seraphim
twaungana nao. 
We unite with them.
 
Verse 2:
Unatunza maagano,
You Keep Your Covenants
Huna mwanzo, Huna mwisho,
You know no end nor beginning,
Neno Lako ni Hakika,
Your Word is Sure,
wala Halina ukomo.
It is limitless.
 
Tumekuja mlima SAYUNI,
We’ve come to Mount ZION,
Kukusifu, Kukuabudu,
To Praise You, to Worship You
Maserafi Makerubi,
The cherubim, the seraphim
twaungana nao. 
We unite with them.
 
Chorus: All
(Milima yayeyuka mbele Zako,
The mountains evaporate before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
Bridge all:
(Nani kama Wewe Bwana,
Who is like You LORD?
Nani kama Wewe)
Who is like You?
 
All:
milima yayeyuka, Mbele Zako,
Mountains evaporate before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
magonjwa yayeyuka, mbele Zako,

Sicknesses evaporate before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu.
Who is like You, our GOD?
 
Holy Music:
 
All:
(Milima yayeyuka mbele Zako,
Mountains evaporate before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
Nani kama Wewe Bwana,
Who is like You LORD?
Nani kama Wewe)
Who is like You?
 
All:
madeni yayeyuka mbele Zako,
Debts evaporate before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
Kansa yayeyuka mbele Zako,
Cancer evaporates before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
kisukari chayeyuka mbele Zako,
Diabetes evaporates before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
Ukimwi wayeyuka Mbele Zako,
AIDs evaporates before You,
Nani kama Wewe MUNGU wetu)
Who is like You, our GOD?
Holy music:
 
Outro:
Who is like You LORD?
Nani kama Wewe)
Who is like You?