Toka mwanzo nilijua Mungu atafanya
Sababu najua hashindwa
Ila nilidhani Mungu atafanya
Sawa sawa na mawazo yangu
Kumbe ninavyowaza ni tofauti na vile
Mungu anavyoniwazia mimi
Leo amenishangaza Bwana
Amefanya zaidi ya nilivyowaza
Baraka kanipa zaidi ya nilivyo omba
Amenipa kicheko
Watoto amenipa zaidi ya nilivyo omba
Amenipa kicheko
Afya kanipa zaidi ya nilivyo omba
Amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya nilvyo omba
Bwana amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya mawazo yangu
Bwana amenipa kicheko
Baraka kanipa zaidi ya nilivyo omba
Amenipa kicheko
Watoto amenipa zaidi ya nilivyo omba
Amenipa kicheko
Afya kanipa zaidi ya nilivyo omba
Amenipa kicheko
Anasema anajua ninachohitaji
Hata kabla sijaomba
Kuna vitu ninadahni sihitaji
Ila yeye anajua ninahitaji
Nikiomba mkate aninipa na maji
Anajua nitapata kiu
Mahitaji yangu leo uuu
Mahitaji yangu e
Nisiyoyajua yeye anayajua
Hata kama ni mambo madogo tu
Leo amenishangaza Bwana
Amefanya zaidi ya nilivyo waza
Ametenda zaidi ya nilvyo omba
Bwana amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya mawazo yangu
Bwana amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya akili yangu
Bwana amenipa kicheko