Si Wakati wa Kulia Lyrics - Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir AIC Chang'ombe swahili

Chorus:
Si wakati wa kulia,
it's not time to cry
Ni wakati wa Sifa,
It's time for praise

Si Wakati wa Kulia Video

Buy/Download Audio

Si Wakati wa Kulia Lyrics

Si wakati wa kulia,
it's not time to cry
Ni wakati wa Sifa,
It's time for praise

Tumaini lipo, Msaada upo,
there is hope, there is help
Kwa Yesu tunao usalama.
In Jesus we are safe

Alisema hatatuacha,
For he said he will never leave us
Hata ukamilifu wa dahari.
To the very end of age

Ye' ni Mungu wa kweli,
He is the true God
Mungu wa kweli,
The true God
Ye' ni Mungu wa kweli, Bwana.
He is the true God, the Lord

Tuseme nini juu ya mambo hayo? 
What then shall we say to all these things?
Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
if God is for us, who can be against us?

Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
if God is for us, who can be against us?

Katuzingira kwa pande zote,
He has sorrunded us 
Kushoto, kulia ye yupo na malaika wake wapo.
to the left and to the right he is with us, and the angels too

Kushoto, kulia ye yupo na malaika wake wapo.
to the left and right he is with us, and the angels too

Neno lake ni la Ukweli,
His word is true
Hasemi uongo, ni Mungu wa kuaminika.
He never lie for He is God

Hajashindwa na hatashindwa,
He is not defeated, He will never be defeated
Milele yeye ni Mungu.
He is God foreverAmetuficha mikononi mwake,
In his arms we are hidden
Kivulini pake hatuna hofu.
In his shadow there is no fear.