Mwaminifu

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

Mwaminifu toka mwanzo hadi sasa
Yeye anatosha, yeye anatosha
Anatenda mambo mengi ya ajabu
Yeye anatosha, yeye anatosha

Mungu habadiliki kamwe
Yeye halinganishwi kamwe oooh!
Baba hafananishwi kamwe
Anatenda mambo mengi makuu uuh!

Tumuite Baba, tumwimbie Yesu
Tumwite Baba, Baba Baba hey
Tumwite Baba, Baba Baba eeiye

Knowing this kind of a favour God
Knowing this kind of and Awesome God
No One compares to you my King
You are an awesome God King of kings saviour
You are the Alpha and still The Omega eeiye
Standing on the solid rock

Mungu habadiliki kamwe
Yeye halinganishwi kamwe oooh!
Baba hafananishwi kamwe
Anatenda mambo mengi makuu uuh

Tumuite Baba, tumwimbie Yesu Ooh
Tumwite Baba, Baba Baba heeyi
Tumwite Baba, Baba Baba eeyah
Mwaminifu wakati wote, Tumwite Baba
Alitukomboa (Tumwite baba)
Akatuweka huru (Tumwimbie Yesu)
Tumwite Baba Baba Baba
Mwaminifu toka mwanzo hadi sasa
MShare:
0 Comments

Comments / Song Reviews

Share your understanding & meaning of this song


Kambua

@kambua

Bio

View all songs, albums & biography of Kambua

View Profile

Bible Verses for Mwaminifu

Deuteronomy 7 : 9

Basi jueni ya kuwa Bwana, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kushika amri zake, hata vizazi elfu;

Joshua 21 : 45

Halikuanguka neno lo lote katika jambo lo lote lililokuwa ni jema ambalo Bwana alikuwa amelinena katika habari ya nyumba ya Israeli; yalitimia mambo yote.

Jeremiah 29 : 11

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

2nd Corinthians 1 : 20

Maana ahadi zote za Mungu zilizopo katika yeye ni Ndiyo; tena kwa hiyo katika yeye ni Amin; Mungu apate kutukuzwa kwa sisi.

1st Thessalonians 5 : 24

Yeye ni mwaminifu ambaye awaita, naye atafanya.

1st John 1 : 9

Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links