Sifa Lyrics

Sifa Zote by Enid Moraa cover art

Enid Moraa - Sifa Zote Lyrics

Artist:
Enid Moraa

Lyrics

Sifa zote ni zako Bwana
Kwa yale yote unayofanya
Viumbe vyote vyakusifu uuh
Na sisi wana wako tunakuabudu


Sifa zote ni zako Bwana
Kwa yale yote unayofanya
Viumbe vyote vyakusifu mwokozi wetu
Na sisi wana wako tunakuabudu


Kwani ni wee, Kwani ni wewe unatupenda
Nani aokoa, nani atupenda niwee
Umeniokoa, niwe niwe niwee
Nani mfariji niwee, nani abariki niwee
Tunasifu niwee niwee niwee


Sifa zote ni zako Bwana
Kwa yale yote unayofanya
Viumbe vyote vyakusifu uuh
Na sisi wana wako tunakuabudu


Kwani ni wee, Kwani ni wewe unatupenda
Nani aokoa, nani atupenda niwee
Umeniokoa, niwe niwe niwee
Nani mfariji niwee, nani abariki niwee
Tunasifu niwee niwee niwee


Sifa zote sifa zote mkombozi ni wewe
Yesu Yesu Yesu utukuzwe milele
Kwani ni wee, Kwani ni wewe unatupenda


Video