Sifa Lyrics

Mfalme Mkuu by Kanjii Mbugua + Enid Moraa cover art

Kanjii Mbugua + Enid Moraa - Mfalme Mkuu Lyrics

Artist:
Kanjii Mbugua + Enid Moraa

Lyrics

Chorus


Wewe ndiwe, wewe ndiwe


Wewe ndiwe mfalme mkuu


Nilikuwa nimekosa tumaini maishani


Lakini Yesu akaniokoa


Nilikuwa niangamie, nianguke, nipotee


Lakini Yesu akaniokoa


Pre-Chorus


Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa


Wema wako hauna kipimo


Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa


Nguvu zako, zako hazina kipimo


Chorus


Wewe ndiwe, wewe ndiwe


Wewe ndiwe mfalme mkuu


Nilikuwa nimezama


Shida nyingi upande zote


Lakini Yesu akaniokoa


Nilikuwa nimefungwa


Nimeshindwa, nimezidiwa


Lakini Yesu akaniokoa


Pre-Chorus


Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa


Wema wako hauna kipimo


Napigwa na butwa, ninashangaa nimezubaa


Nguvu zako, zako hazina kipimo


Chorus


Wewe ndiwe, wewe ndiwe


Wewe ndiwe mfalme mkuu


Bridge


Shangwe na nderemo


Furaha ya ajabu


We umeniona


Mwokozi wangu


Post Chorus


Wewe ni, wewe ni,


Wewe, wewe


Wewe ni, wewe ni


Mwokozi wangu


Video