Sifa Lyrics

Wacha Wajue  by Eko Dydda cover art

Eko Dydda - Wacha Wajue Lyrics

Artist:
Eko Dydda

Lyrics

Mimi niko watching


Yesu nilinde shetani ako poaching 


Wakati mwingine siamini matochi 


Ni wewe mlinzi kuliko ma-watch-i


Wacha wajue unaweza (wacha wacha)


Wacha wajue unaweza (wacha wacha)


Wacha wajue(Wacha) wacha wajue (wacha wacha)


Wacha wa


Siezi jifanya 'nna nguvu kama commando 


Ah nigger no ah Yesu ndo amefanya nimefika 


mahali nimefika bless bila * 


Usicomplain usicomplain ye ndo amakubless bila * 


Mi nasifu Yesu ndio maana ninasema praise Jesus alone 


Dunia yote Mungu ndio the owner  


Ka si Jehovah Rapha hatungepona 


So to God be the glory and honour 


Yesu ndio mwangaza tu naona 


Ametupa freedom indeed freedom indeed 


Si a little bit freedom thea 


Hakuna cha kuhustle we don't care 


...


Dancing for my Lord 


Nishajua nani anaponya healings at last 


*** 


Mimi niko watching


Yesu nilinde shetani ako poaching 


Wakati mwingine siamini matochi 


Ni wewe mlinzi kuliko ma-watch-i


Wacha wajue unaweza (wacha wacha)


Wacha wajue unaweza (wacha wacha)


Wacha wajue(Wacha) wacha wajue (wacha wacha)


Wacha wajuue 


kwa wanasiasa mambo barabara na tuna bad roads 


Kukithrow with politics kuna aprons 


Nina appetite ya kuonja new testament 


Naonja good news kwa Bible new Testament aha 


Gazeti tunauza nation standard 


Word yako hapa ndio standard 


Kwa Yesu ninasimama nina standup 




Mimi niko watching


Yesu nilinde shetani ako poaching 


Wakati mwingine siamini matochi 


Ni wewe mlinzi kuliko ma-watch-i


Wacha wajue unaweza (wacha wacha)


Wacha wajue unaweza (wacha wacha)


Wacha wajue(Wacha) wacha wajue (wacha wacha)


Wacha wajuue 


Video