Sifa Lyrics

Mungu Yu Mwema by Praise Makena cover art

Praise Makena - Mungu Yu Mwema Lyrics

Artist:
Praise Makena

Lyrics

Mungu Yu Mwema, ana?
Anatuonyesha njia
Hakuna mwingine kama wewe


Hakuna mwingine kama wewe
Unafanya njia pasipo na njia
Wewe ni Mungu wa ajabu unatuonyesha njia
Hakuna mwingine kama wewe


Mungu Yu Mwema, ana?
Anatuonyesha njia
Hakuna mwingine kama wewe


Ulitembea na Musa Jangwani
Ukamwonyesha njia zako
Mkono wako wa ajabu
Matendo yako yanatisha


Mungu Yu Mwema, ana?
Anatuonyesha njia
Hakuna mwingine kama wewe


Ewe mpendwa usihofu
Bwana Mungu atakujibu
Mpe mahitaji yako yote
Bwana Mungu atakujibu


Mungu Yu Mwema, ana?
Anatuonyesha njia
Hakuna mwingine kama wewe
Ft. Eunice Njeri in Background Music & Backup


Related Song Chorus Lyrics
Mungu yu mwema, yu mwema
Yu mwema Maishani mwangu
By Internal Gospel Choir


Video