Atakupigania Lyrics - Praise Makena

Praise Makena swahili

Buy/Download Audio

Atakupigania Lyrics

Atakupigania atakupigania 
Atakupigania atakupigania 
Atakupigania atakupigania 

Atakupigania katika shida zako 
Yeye ni mwaminifu atakupigania 
Machozi unayolia atakupanguza 
Yeye ni Jehovah mpiganiji vita 

Atakupigania atakupigania 
Atakupigania atakupigania 

Ewe mtumishi simama imara 
Mungu Yupo atakupigania 
Mpe vita vyako atakupigania 
Mtetezi wetu atakupigania 

Atakupigania atakupigania 
Atakupigania atakupigania 

Atakupigania Yesu eeh (atakupigania) 
Mpe vita vyako vyote (atakupigania) 
Jina lake Jehovah Nissi (atakupigania) 
Mtetezi wa wanyonge (atakupigania) 
...


Atakupigania Video