Sifa Lyrics

Wewe Ni Bwana by Enid Moraa + Reuben Kigame cover art

Enid Moraa + Reuben Kigame - Wewe Ni Bwana Lyrics

Artist:
Enid Moraa + Reuben Kigame

Lyrics

Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Ufalme wako, wadumu milele


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Umetukuka, milele amina


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Ufalme wako, wadumu milele


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Umetukuka, milele amina


Katoka juu, mbinguni kaja hapa duniani


kamwaga damu kalivari, ili nipate kombolewa


Na nimeokoka, nioshwa dhambi Nimekuwa safi,


ninakusifu Milele na milele na mile-ele


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Ufalme wako, wadumu milele


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Umetukuka, milele amina


Majaribu yaja, shida nazo zaja


Kila siku mbio, ni katika vita


Adui hatasita kunimaliza, nami nimeuona mkondo wa Yesu


Msaada wangu, tegemeo langu,


Mwambwa imara wake nasimama


NImeweka imani kwa yule aliye mwaminifu


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Ufalme wako, wadumu milele


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Umetukuka, milele amina


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Ufalme wako, wadumu milele


Wewe ni Bwana, juu ya mabwana


Umetukuka, milele amina


Umetukuka, milele amina


Umetukuka, milele amina


Video