Sifa Lyrics

Tembea na Yesu by Kambua cover art

Kambua - Tembea na Yesu Lyrics

Artist:
Kambua

Lyrics

Tembea na Yesu


Tembea na Yesu


Haleluya


Ukiwa shuleni


Ukiwa kazini


Tembea na Yesu


Haleluya aah


Ukiwa na raha


Ukiwa na shida


Tembea na Yesu


aah Haleluyah


Video