Rose Muhando - Namjua Lyrics

Contents:

Namjua Lyrics

Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda
Niacheni nyie

Nahisi siwezi kuishi duniani
Bila Yesu eeh, ooh mimi
Kama kupenda ni dhambi
Wacha nihukumiwe

Kama kupenda ni hatia
Wacha nishitakiwe
Kama kupenda Yesu ni dhambi
Wacha nichanganyikiwe eeeh

Mapenzi, mapenzi
Ah mapenzi kwa Yesu mapenzi
Mapenzi yamejaa moyoni mapenzi
Mapenzi yananichanganya mapenzi
Kumpenda Yesu kumenichanganya mapenzi
Kumpenda Yesu kumenichanganya mapenzi

Nahisi siwezi kutembea peke yangu
Duniani eeh bila Yesu eeh
Mimi eeh

Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda
Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda, nacheni nie

Salama nikiwa na Yesu
Amani nikiwa na Yeye
Salama nikiwa na Yesu
Amani nikiwa na Yeye

Nabarikiwa nikiwa na Yesu
Nainuliwa nikiwa na Yesu
Raha tele nikiwa na Yesu
Natembea nikiwa na Yesu
Nikilala ni mimi na Yesu
Popote pale salama

Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda
Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda, nacheni nie

Ni raha yangu eeh heee
Amani yangu eeh heee
Uzima wangu eeh heee
Raha yangu eeh heee

Popote niendapo, ni Yesu
Aah, ni Yesu
Popote nikilala, ni Yesu
Aah, ni Yesu

Hata nikitembea, ni Yesu aah ni Yesu
Urembo wangu, ni Yesu aah ni Yesu
Kazini kwangu, ni Yesu aah ni Yesu
Ni Yesu, mimi naye
Nahisi siwezi kutembea duniani
Duniani bila Yesu eeh mimi

Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda
Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda, nacheni nie

Nabarikiwa nikiwa na Yesu
Nainuliwa nikiwa na Yesu
Raha tele nikiwa na Yesu
Natembea nikiwa na Yesu
Nikilala ni mimi na Yesu
Popote pale salama

Salama nikiwa na Yesu
Amani nikiwa na Yeye
Salama nikiwa na Yesu
Amani nikiwa na Yeye

Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda
Namjua, Yesu namjua aah
Nampenda Yesu nampenda, nacheni nyie


Rose Muhando Songs

Related Songs