Walter Chilambo - El Shaddai (H_art the band Cover) Lyrics
Lyrics
El Shaddai Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai
He is an awesome God Amenipa such an awesome song And I'm never lonely Amenipa such an awesome love He is an awesome God And I wanna tell it to the world Ili wajue ni wewe Kama si wewe basi Nani Naskia landlord-i Ako Kwa njia anataka kodi Ni wewe utaprovide Na nina ngori moyoni zinanijaza worry Ila nitakuwa fine
El Shaddai Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai
Every day, every day Is an awesome day Na vile Unanibariki Hata Mimi sielewi And everyday everyday You come through in an awesome way Hakuna dhiki
Nimepata rafiki Rafiki wa kweli Na kuna ka-loan mahali Kalinijaza worry Ni wewe utaprovide Nina-mahari natamani kulipia mpenzi Sote tutakuwa fine Na madaktari wanasema hali sio hali Wewe unajua time Nahisi nguvu Zako kwangu I will call you El Shaddai
El Shaddai Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai, El Shaddai, El Shaddai
Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai Uko na kile me nadai Ulinipenda hata Kama me sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai
Video
Walter Chilambo - El Shaddai (Official Video Lyrics) H_arts band Cover.