Hosanna Hosanna Tumwimbie

Hosanna hosanna tumwimbie hosanna
Hosanna hosanna Halleluyah Hosanna

Hosanna Hosanna tumwimbie hosanna
Hosanna Hosanna Halleluyah Hosanna
Hosanna hosanna tumwimbie hosanna
Hosanna hosanna Halleluyah Hosanna

Makerubi na maserafi wakwimbia Hosanna
Wainama mbele zako wakiimba Hosanna
Makerubi na maserafi wakwimbia Hosanna
Wainama mbele zako wakiimba Hosanna

Hosanna Hosanna tumwimbie Hosanna
Hosanna Hosanna Halleluyah Hosanna
Hosanna Hosanna tumwimbie Hosanna
Hosanna Hosanna Halleluyah Hosanna

Wazee ishirini na wanne wainama mbele zako
Wakisema mtakatifu, mtakatifu ni wewe tu
Wakisema unastahili kupokea sifa
Utukufu na nguvu na uweza wote

Hosanna Hosanna tumwimbie Hosanna
Hosanna Hosanna Halleluyah Hosanna
Hosanna Hosanna tumwimbie Hosanna
Hosanna Hosanna Halleluyah Hosanna


Share:
0 Comments

Comments / Song Reviews

Share your understanding & meaning of this song


Marggie Dawn

@marggie-dawn

Bio

Profile bio coming soon, Artists Page

Bible Verses for Hosanna Hosanna Tumwimbie

Revelation 4 : 8

Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; na pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.

Revelation 4 : 10

ndipo hao wazee ishirini na wanne huanguka mbele zake yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi, nao humsujudia yeye aliye hai hata milele na milele, nao huzitupa taji zao mbele ya kile kiti cha enzi, wakisema,

Sifa Lyrics

Social Links