Sifa Lyrics

Nena Nami by Marggie Dawn cover art

Marggie Dawn - Nena Nami Lyrics

Artist:
Marggie Dawn

Lyrics

Nena nami, nena nami Bwana 


Sema Bwana na moyo wangu 


Lisikie sauti yako 


Bwana nena, nena nami 


Nimechoshwa na sauti za watu 


Natamani sauti yako 


Inielekeze kwa njia zako 


Bwana nena, nena nami 


Nena nami, nena nami Bwana 


Sema Bwana na moyo wangu 


Lisikie sauti yako 


Bwana nena, nena nami 


Moyo wangu uko wazi Bwana 


Bwana sema nikusikie 


Nifahamu kusudi lako 


Bwana nenam, nena nami 


Ninachokitaka ni kukusikia 


Ukisema na moyo wangu 


Kila siku ya maisha yangu 


Bwana nena nami 


Nena nami, nena nami Bwana 


Sema Bwana na moyo wangu 


Lisikie sauti yako 


Bwana nena, nena nami 


Bwana nena, nena nami


Video