Sifa Lyrics

Kama Ndoto by Wapendwa Muziki cover art

Wapendwa Muziki - Kama Ndoto Lyrics

Artist:
Wapendwa Muziki
Album:
KAMA NDOTO - Single
Official Release:
12 Mar 2026

Lyrics

[Intro]
Ilianza kama ndoto
Katimiza maono
Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona
Ilianza kama ndoto
Katimiza maono
Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona


[Verse 1]
Toka January to December
Kweli Mungu wangu mimi nakupenda (Pendaaa)
Toka January to December
Kweli Mungu wangu mimi nakupenda (Pendaaa)
With my heart I surrender
Fanya vile unapenda
With my heart I surrender
Fanya vile unapenda


[Pre-Chorus]
We Bwana
Tawala na maisha yangu
We Bwana
Naomba usiondoke kwangu
We Bwana
Wewe ndio mkombozi wangu


[Chorus]
Ilianza kama ndoto
Katimiza maono
Na kwa mkono wako
Tuimbe tumepona
Ilianza kama ndoto
Ka timiza maono
Na kwa mkono wako
Tuimbe tumepona
Tumepona
Tumepona, tumepona ya ya ya


[Verse 2]
Wale waliopanga wakasema tutafeli
Jamani eti sisi tutafeli
Ah, ndio wale
Ah bado wanangoja
Wale waliopanga wakasema tutafeli
Jamani eti sisi tutafeli
Ah, ndio wale
Ah bado wanangoja
Wale waliopanga wakasema tutafeli, tutafeli, tutafeli
Ah, ndio wale
Ah bado wanangoja
Wale waliopanga wakasema tutafeli, tutafeli, tutafeli
Ah, ndio wale, Ah bado wanangoja


[Chorus]
Ilianza kama ndoto
Katimiza maono
Na kwa mkono wako
Tuimbe tumepona
Ilianza kama ndoto
Ka timiza maono
Na kwa mkono wako
Tuimbe tumepona
Tumepona
Tumepona, tumepona ya ya ya


[Bridge]
Bolingo na ngai eh, na ngai eh
Bolingo na ngai eh, na ngai eh
Yeh abungisakatee bilakanaye, bilakanaye
Yeh abungisakatee bilakanaye, bilakanaye


[Chorus]
Ilianza kama ndoto
Katimiza maono
Na kwa mkono wako
Tuimbe tumepona
Ilianza kama ndoto
Katimiza maono
Na kwa mkono wako
Tuimbe tumepona


[Outro]
Wale waliopanga wakasema tutafeli
Jamani eti sisi tutafeli
Ah, ndio wale
Ah bado wanangoja
Wale waliopanga wakasema tutafeli
Jamani eti sisi tutafeli
Ah, ndio wale
Ah bado wanangoja
Wale waliopanga wakasema tutafeli, tutafeli, tutafeli
Ah, ndio wale
Ah bado wanangoja
Wale waliopanga wakasema tutafeli, tutafeli, tutafeli
Ah, ndio wale, Ah bado wanangoja


Tumepona
Tumepona, tumepona ya ya ya
Ah, ndio wale, Ah bado wanangoja
Tumepona, tumepona ya ya ya
Ah, ndio wale, Ah bado wanangoja


Video