Wapendwa Muziki - Bonge La Surprise Lyrics
Lyrics
[Intro] Umenipiga bonge la surprise Ukanifanya mimi wa thamani Nakupenda kutoka moyoni Turn my mourning to dance
[Verse 1] Pekee yangu haiwezekani Usingekuwa upande wangu Bwana Maadui wangenimeza hai In You I found myself Pekee yangu haiwezekani Usingekuwa wangu Bwana Bado mimi nimezaliwa, in You I found myself
[Chorus] Pekee yangu haiwezekani Usingekuwa upande wangu Bwana Maadui wangenimeza hai
When the enemy came like a flood Ukanipa ushindi Ukanitengenezea tabasamu Sasa mimi mshindi
[Bridge] In my matter you're involved Wewe ndo mtetetezi wa wanyonge In my matter you're involved Wewe ndo mtetetezi wa wanyonge Ndio naimba Eshe Baba Asante kwa yote umefanya Ndi naimba Eshe Baba asante Ndoa naimba Eshe Baba asante Kwa yote umefanya
[Verse 2] In You I found myself Pekee yangu haiwezekani Usingekuwa upande wangu In You I found myself Pekee yangu haiwezekani Usingekuwa upande wangu Bwana Maadui wangenimeza hai
[Outro] Umenipiga bonge la surprise Ukanifanya mimi wa thamani Nakupenda kutoka moyoni You turn my mourning into dancing
Umenipiga bonge la surprise Kanifanya mwingi wa dhamana Nakupenda kutoka moyoni Turned my mourning into dance
Video
BONGE LA SURPRISE By Wapendwa Muziki ( Official Music Visualizer )