Redfourth Chorus

Nainua Lyrics

Lyrics & Translation:
Nainua macho milimani (I lift my eyes to the mountain)
Msaada wangu, utatoka wapi (Where will my help come from)
Kwa Yesu (from Jesus)

Na wengine, wanakunywa pombe, kutafuta msaada (Some drink alcohol seeking help)
Lakini msaada hamna (But there is no help)
Na wengine, wanaenda disco, kutafuta msaada (some go to the club seeking help)
Lakini msaada hamna (But there is no help)

Na wengine, wanaenda up down up, kutafuta msaada (Some go up and down seeking help)
Lakini msaada hamna (But there is no help)
Na wengine, wanaenda zig zag zig, kutafuta msaada (Some go zig zag seeking help)
Lakini msaada hamna (But there is no help)

Nainua Video

Source: Nainua Lyrics - Redfourth Chorus