Imani Yako ni Ufunguo Lyrics - Sifaeli Mwabuka
Sifaeli Mwabuka swahili
Buy/Download AudioImani Yako ni Ufunguo Lyrics
Mwanzo wa imani yako ndipo huja mafanikio yako
Usikate tamaa unapoona unachelewa kujibiwa maombi
Usivunjike moyo amini Mungu yupo
Matitizo uliyo nayo ajua changamoto za maisha yako ndugu
Ugumu wa maisha kipimo cha kila moja wahenga walisema
Japokuwa mazito kwako weka imani mbele
Haujui mwisho lini vumilia ndugu
Mungu yupo
Mungu yupo usisoneneke
Mungu yupo usisoneneke
Weka imani mbele
Weka imani mbele