Baba wa mbinguni
Nyosha mkono wako
Watu wauone
Walisifu Jina lako
(Repeat)
Refrain:
Baba wa mbinguni
Nyosha mkono wako
Watu wauone
Watukuze Jina lako
(Repeat)
Yahweh na bikamwa
Sebola loboko nayo
Bato nioso bamona yango
Bakumisa kombo nayo
Baba kule mbinguni, tunakuhitaji Yesu
Shuka utende kwa maisha ya mama yule na baba yule
Wajue, tunaye Mungu wa kweli
Anaye fanya mambo ya ajabu
Usipotenda Yesu, atahiari jina lako
Hatujakosea Baba kukuchagua kama Bwana na Mwokozi, Yesu
Shuka utende mataifa wajue kwamba wewe
We ni Mungu wa ajabu
(Refrain)
Baba twakuhitaji
Shuka utende
(Repeat)
Repeat: Ah! Shuka utende
Shuka utende leo
Mama/baba/kaka/mama yule akuone leo
Akuone katika ndoa yake
Akuone katika biashara yake
Shuka utende
Shuka utende! Utende!
(Repeat)
Repeat: Ah! Shuka utende
Shuka utende leo
Shuka utende leo
Baba shuka utende leo
Baba shuka utende leo
Shuka (shuka)! Shuka (shuka)! Shuka (shuka)!
Shuka utende
Shuka (shuka)! Shuka (shuka)! Shuka (shuka)!
Shuka utende
(Repeat)
Repeat: Shuka Yesu eh!
Shuka Yesu eh!
Shuka Yesu utujibu leo
Shuka Yesu ujibu maombi
Shuka Yesu tukuone leo
Shuka Yesu nikuone kwa macho
Shuka Yesu dada/kaka/brother yule akuone
Shuka Yesu eh!
(Repeat)