Agape Gospel Band + Neema Gospel Choir - Unanitendeanga Mema Lyrics
Lyrics
Unanitendeanga mema, unanitendeanga mema
Unanifutanga machozi, unanifutanga machozi
Wewe ni Mungu wa upendo, ni Mungu wa upendo
Hakuna kama wewe, hakuna kama wewe
Verse
Sitaacha kukusifu milele
Yale umetenda kwangu hayahesabiki
Mungu ni upendo na upendo ni wewe
Maana upendo halisi watoka kwako Baba
Ulimtuma mwana wako wa pekee
Ili tupate uzima wa milele
Huyu Yesu, eh Mungu pamoja nasi
Huyu Yesu jamani, eh Mungu pamoja nasi
Bridge
Upendo wako kwangu, upendo wa pekee
Ninasema upendo wako kwangu, Yesu we
Ah upendo wako kwangu Yesu, upendo wa pekee
Refrain
Amina amina, amina lele
Amina amina, amina lele
(The song concludes with celebratory praises, dancing, and repeated refrains of "Amina")
Video
Unanitendeanga mema instrumentals by Agape gospel band ft neema gospel choir