Johnny Drille - Ova (Swahili Version) Lyrics
Lyrics
Usikasirike mpenzi hata ukijam bado wapendeza my love Najua wanimiss baybe hata ukilenga text na kunitesa my love oh yeah Ningeweza kujenga time machine mpenzi rewind it to be your disciple Ninaamini penzi letu hakuna kama we watajaribu watashindwa Ki pusa naomba kuwa nawe Na hushiki simu wanna make it up my zumaridi Unangaa kama nyota nawaza, your in my head Naomba tu nafasi nigeuze mienendo zumaridi Nitakupa unachotaka nataka kuishi na we Girl you don’t give me chance make we start all over
Ova o, ova ova ova o, ova ova ova o, ova ova ova ooo Ova o, ova ova ova o, ova ova ova o, ova ova ova ooo Sijiwezi ngozi yako nzuri yanichanganyisha baby Hata ni-kijifanya gangsta wanifanya mnyonge Mchana kutwa naagalia picha yako nikichizi Umenifanya chizi sijilewi
Video
Johnny Drille - Ova (Swahili Version)