Lyrics
Spoken Intro
Baba ukirudi usiniache
Sitaki kuikosa mbingu
Hiyo ni maombi yangu Baba
Verse 1
Kule mbinguni itakuaje, nitakapomuona Mwokozi Yesu?
Kule mbinguni itakuaje, nitakapowaona Mitume wote?
Kule mbinguni itakuaje, nitakapoimba na Malaika wimbo mpya?
Chorus
Para, para, para...
Kule mbinguni itakuaje?
Nitakapomuona Mwokozi Yesu
Kule mbinguni itakuaje?
Nitakapowaona Petro na Eliya
Bridge
Usitake kuikosa hiyo siku, maana ni siku ya furaha
Ni siku ya furaha isiyo na mwisho
Tutaimba Hosanna milele
Hosanna
Hosanna, Hosanna, Hosanna milele
Tutaimba Hosanna, kule mbinguni
Tukizunguka zunguka kwenye kiti cha enzi
Tutasalimiana pamoja na Malaika
Tutaketi na Bwana kule mbinguni
Wastahili
Nitaimba nikifika, juu mbinguni kwa Baba
Nitaimba Hosanna milele
Wastahili Yesu, Wastahili heshima milele
Malaika kule mbinguni, kila siku wanaimba
Wastahili sifa
Wazivua taji zao, mbele ya kiti cha enzi
Na sisi twavua vyeo vyetu, mbele zako Yesu tukisema...
Wastahili Yesu!
Sebene
Kule mbinguni... ni kuimba na kucheza!
Kule mbinguni mama... ni kuimba na kucheza!
Wazivua taji zao kwenye kiti cha enzi
Na sisi twavua vyetu mbele zako Yesu tukisema
Wastahili Yesu
Sifa, sifa, sifa!
Wasipoimba tutaimba!
Video
Meaning & Inspiration
“Mbinguni Itakuaje” imagines the joy of heaven through questions, praise, and dance. The spoken opening asks not to be left behind when the Father returns. From there, the song wonders about seeing Jesus, meeting the apostles, and joining angels in a new song. Its answer is not a detailed picture of heaven but an extended celebration: endless Hosanna, fellowship around the throne, and honor given to Christ.
The “Wastahili” section gives the medley its clearest biblical image. Angels worship, crowns are laid before the throne, and earthly titles are also surrendered before Jesus. Revelation 4:10–11 contains the same movement of casting crowns and declaring God worthy. The promise of dwelling with God in Revelation 21:3–4 also fits the song’s expectation of sitting with the Lord in a place where joy does not end. The closing sebene turns that expectation into embodied praise. Singing and dancing express anticipation, while the repeated question keeps attention on the hoped-for meeting with the Savior.
Related Scripture
- Revelation 4:10-11 The song depicts worshipers casting down crowns and declaring Jesus worthy.
- Revelation 21:3-4 The hope of dwelling with God and lasting joy matches the song’s picture of heaven.