Dr Ipyana - Mapenzi Yako Lyrics
Contents:
Tumekuja kuzungumza na wewe
We’ve come to conversate with you
Tumekuja kusemezana na wewe
We’ve come to reason with you
Haja za mioyo yetu
Our heart’s desires
Zijulikane na wewe
Let them be known to you
Bwanaaaa
Lord
Bwanaaaa
Lord
Bridge
Kila tuombalo
Everything we ask for
Kila tutakalo
Everything we want
Matarajio yetu yapo kwako tu
Our expectations are on you
Chorus
Mapenzi yako yatimizwe
Your will be done
Ufalme wako uje
Your kingdom come
Liwe utakalo duniani
Let it be, as you want it on earth