Lyrics
Dunia Hainiwezi
Dunia Hainiwezi Hainiwezi
Nimejificha Kwa Bwana Yesu
Dunia Hainiwezi
Dunia Hainiwezi Hainiwezi
Nimejificha Kwa Bwana Yesu
Dunia Hainiwezi
Dunia Hainiwezi Hainiwezi
Nimejificha Kwa Bwana Yesu
Dunia Hainiwezi
Dunia Hainiwezi Hainiwezi
Nimejificha Kwa Bwana Yesu
Bwana Ndiwe
Nguvu Wangu
Ni Wewe
Ni Wewe Bwana
Na Maficho
Na Maficho Yangu
Ni Wewe Bwana
Bwana Ndiwe
Nguvu Wangu
Ni Wewe
Ni Wewe Bwana
Na Maficho
Na Maficho Yangu
Ni Wewe Bwana
Bwana Uliniumba
Uliniumba Nikuabudu Pekee Yako Eliohimu
Uliniumba
Uliniumba Nitangaze Faddhili Zako Kwa Mataifa
Bwana Ndiwe
Nguvu Wangu
Ni Wewe
Ni Wewe Bwana
Na Maficho
Na Maficho Yangu
Ni Wewe Bwana