Patrick Kubuya - Fungua Mbingu Lyrics

Lyrics

Fungua Mbingu Zao Ee Bwana Neema Yako Na Ishuke

Tuko Tayari Tunangojea Uwepo Wako Utufikie 

Mahali Hapa Jina Lako Linaabudiwa Ee Bwana 

Miujiza Na Maajabu Yafanyike Hapa

Roho Wako Avume Miujiza Na Ifanyike Wagonjwa Wanahitaji Wakuone  

Ewe Roho Mtakatifu 

Timiza Mapenzi Yako

Tawala Mahali Hapa

Tuone Mkono Wake Mungu 

Ewe Roho Mtakatifu 

Timiza Mapenzi Yako

Tuone Mkono Wake Mungu

Ewe Roho Njoo Hapa Twangoja Wakati Wa Bwana 

Timiza

Timiza Mapenzi Ya Bwana Tuimbe Hossana

Tuimbe Hossana

Tuimbe Hossana

Kwa Yesu messiah

Tuimbe Hossana

Video

Patrick Kubuya - Fungua Mbingu (Live Recording)

Thumbnail for  Fungua Mbingu video
Loading...
In Queue
View Lyrics