Moyo Wangu Lyrics - Essence of Worship

Essence of Worship Patrick Kubuya swahili

Moyo Wangu Lyrics

moyo wangu nakutolea wewe
sishiki ata kitu kimoja nakutolea yote
moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
umeniumba mimi nikurudishie utukufu
umeniumba mimi nikurudishie utukufu

moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
umeniumba mimi nikurudishie utukufu
umeniumba mimi nikurudishie utukufu

moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
umeniumba mimi nikurudishie utukufu
umeniumba mimi nikurudishie utukufu

moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu huu ni hekalu wako roho
moyo wangu huu ni madhabau yako mungu
na mwili wangu mimi ni hekalu wako roho
umeniumba mimi nikurudishie utukufu
umeniumba mimi nikurudishie utukufu

Ninasema ndio ninakupa uzima wangu bwana 
roho,akili na mwili wangu nakutolea bwana
nasema ndio ninakupa uzima wangu bwana 
roho,akili na mwili wangu nakutolea bwana
nakutolea bwana

Rohoo
nasema ndiooo
ndio
bwanaaa
Alleluya niko tayari bwana
niko tayaaari kumwabudu
maana wewe
maana wewe wastahili

nasema ndiooo
bwanaaa
niko tayari bwana
niko tayaaari kumwabudu
maana wewe
maana wewe wastahili

nasema ndiooo
bwanaaa
niko tayari bwana
niko tayaaari kumwabudu
maana wewe
maana wewe wastahili

niongoze ewe roho
niongoze ewe roho mahali pale pa takatifu
nimwabudu huyu yesu nishujudu mbele zake
kwa moyo wangu nimwabudu yesuuu

Moyo Wangu Video