Sifa Lyrics

Anaweza by Patrick Kubuya cover art

Patrick Kubuya - Anaweza Lyrics

Artist:
Patrick Kubuya
Album:
cœur à cœur
Official Release:
13 Jun 2020

Lyrics

Tangu mwanzo wa uzima wangu, yeye yule anayenishughulikia, hajawahai niacha ata siku kila leo akesha kwa ajili yangu


tangu mwanzo wa uzima wangu, yeye yule anayenishughulikia, hajawahai niacha ata siku kila leo akesha kwa ajili yangu


Imani wee mwanzilishi wa mambo yote


Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia


Imani wee mwanzilishi wa mambo yote


Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia


Nitaishi kwa kusudi yake


ya wanadamu kwangu hayana nafasi mimi kichwa wala si mkia Baba yangu ndiye anatawala


Imani wee mwanzilishi wa mambo yote


Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia


Imani wee mwanzilishi wa mambo yote


Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia


Anajua,kila kitu


kinachonisumbua mimi


anajibu ninapomwita


sikio lake si vigumu kwangu


Anajua,kila kitu


kinachonisumbua mimi


anajibu ninapomwita


sikio lake si vigumu kwangu


Imani wee mwanzilishi wa mambo yote


Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia


Imani wee mwanzilishi wa mambo yote


Alfa Omega rafiki wangu kwako natulia


Ya leo hayatanitisha


nina Mungu aliye juu ya yote


aliyofanya tangu mwanzo


anaweza yafanya ata sasa


majira hayatanisha mimi,mimi wake


yeye Mungu aliyejuu ya yote 


aliyofanya na Abrahamu,Isaka na Yakobo nina imani


anaweza yafanya ata sasa 


anaweza 


aweza,mwokozi Yesu aweza


yeye hashindwangi kitu


aweza,mwokozi Yesu aweza


Baba 


aweza,mwokozi Yesu aweza


anaweza kukutoa mavumbbini


aweza,mwokozi Yesu aweza


kisha anakuketisha na wafalme


aweza,mwokozi Yesu aweza


Baba wetu hashindwangi kitu


aweza,mwokozi Yesu aweza


yeye ni muweza yote


aweza,mwokozi Yesu aweza


Video