Sifa Lyrics

Sikia Maombi by Patrick Kubuya cover art

Patrick Kubuya - Sikia Maombi Lyrics

Artist:
Patrick Kubuya
Album:
Sikia Maombi (feat. Devotha Joseph) - Single
Official Release:
22 Jun 2021

Lyrics

Yote ninayoitaji ndani yako nitayapata 


Chini ya wema wako hunijibu kwa maombi 


Nafsi yangu yakuhitaji Bwana 


Kwa maombi ninakutafuta 


Usiende mbali na mimi Bwana 


Jifunue kwangu nakusihi 


Yote ninayoitaji ndani yako ninatayapata 


Chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi 


Nafsi yangu yakuhitaji Bwana 


Kwa maombi ninakutafuta 


Usiende mbali na mimi Bwana 


Jifunue kwangu nakusihi 


Ninaomba nione mkono wako 


Roho wako mtakatifu akae pamoja 


Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu 


Kwa neema yako badili historia yangu 


Yesu sikia maombi yangu 


Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi 


Ninaomba nione mkono wako 


Roho wako akae pamoja nami 


Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu 


Kwa neema yako badili historia yangu


Yesu sikia maombi yangu 


Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi 


Ninaomba nione mkono wako 


Roho wako akae pamoja nami 


Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu 


Kwa neema yako badili historia yangu


Video