Sifa Lyrics

Sitakuacha by Patrick Kubuya cover art

Patrick Kubuya - Sitakuacha Lyrics

Artist:
Patrick Kubuya
Album:
Sitakuacha - Single
Official Release:
07 Aug 2025

Lyrics

Tumetoka mbali nawe yesu sidhani leo utaniacha

Milima na mabonde tumepita umenishika kwa mkono wako 

Tumetoka mbali nawe yesu sidhani leo utaniacha 

Milima na mabonde tumepita umenishika kwa mkono wako

Kati raha na kati huzuni haukuniacha, rafiki mwema

wakati mimi sigetamanika ulikuwa yote kwangu bwana 

umenibeba kwa mabawa yako,umenitunza na upendo wako

Na nimefika hapa nilipo,kwa neema yako nikupe nini?

umenibeba kwa mabawa yako,umenitunza na upendo wako

Na nimefika hapa nilipo,kwa neema yako nikupe nini?

Sitakuacha,mimi ni wako na wewe wangu

na ndani yako nitadumu sitaki mwengine

Sitakuacha,mimi ni wako na wewe wangu

na ndani yako nitadumu sitaki mwengine

Oh oh oh Yesu Yesu Yesu

Yesu rafiki mwema 

Oh oh oh Yesu Yesu Yesu

Yesu rafiki mwema 

Kati siri ulinitengeneza ukanitayarisha na subira kanivika

kaniambia nisiwe na haraka nisubiri 

muda wako utatimia hakika 

Ni wewe pekee waniganga moyo ni wewe Yesu rafiki mwema 

Video