Sifa Lyrics

MIKONONI by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - MIKONONI Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Ashatuma wajumbe kuleta habari ya kunifurahisha katika safarii

(Mikononi)

Mikononi mwa Yesu

(Kifuani)

Kifuani mwake mapenzi yanilinda sina hofu kamwe

Mikononi mwa Yesu,tashwisi sinayo

Maonjo haidhuru,madhambi hayapo

(Mikononi)

Mikononi mwa Yesu

(Kifuani)

Kifuani mwake mapenzi yanilinda sina hofu kamwe

Nikiwa na Mwokozi sioni Machozi(machozi)

Mashaka ni machache,machache Machozi

(Mikononi)

Mikononi mwa Yesu

(Kifuani)

Kifuani mwake mapenzi yanilinda sina hofu kamwe

Yesu mwokozi wangu akafa mitini

Yesu mwamba wa kale nakutumaini

(Mikononi)

Mikononi mwa Yesu

(Kifuani)

Kifuani mwake mapenzi yanilinda sina hofu kamwe

Namngojea Bwana,Mchungaji Rafiki 

atakupambauka kule mashariki 

Video