Pana Jito Lyrics

Godwin Ombeni swahili

Chorus:
Ninakuita Nawe Njoo
Utafute Jito Hilo
Maji Yake Yaapoza Moyo
Nawe Uyateke Unywe

Pana Jito Video

Buy/Download Audio

Pana Jito Lyrics

Pana Jito Lina Maji Mazuri
Yaenda Ulimwenguni 
Lametameta Nalo Linangaa
Walijua Jito Hilo

Ninakuita Nawe Njoo
Utafute Jito Hilo  
Maji Yake Yaapoza Moyo
Nawe Uyateke Unywe 

Wanywao Maji Haya Wafurahi
Waimba Kwa Shangwe Kubwa 
Makosa Na Shinda Yanaondoshwa 
Wote waoshwa Na Bwana 

Ninakuita Nawe Njoo
Utafute Jito Hilo  
Maji Yake Yaapoza Moyo
Nawe Uyateke Unywe 

Jito Hilo Latoa Maji Mengi
Matamu Yapendezayo 
Yaponya Wagonjwa,Yatia Nguvu Uchafu Watakasika 

Ninakuita Nawe Njoo
Utafute Jito Hilo  
Maji Yake Yaapoza Moyo
Nawe Uyateke Unywe 

Maji Ya Jito Hilo Ni Uzima,Unaotoka Kwa Yesu
Damu Yake Yenye Kiasi Kikuu Imemwagwa Tusafike

Ninakuita Nawe Njoo
Utafute Jito Hilo  
Maji Yake Yaapoza Moyo
Nawe Uyateke Unywe
 
Ninakuita Nawe Njoo
Utafute Jito Hilo  
Maji Yake Yaapoza Moyo
Nawe Uyateke Unywe