Kelsy Kerubo - Nitie Nguvu Lyrics

Nitie Nguvu Lyrics

Yesu we,Yesu Yesu Yesu wangu 
Mimi Mwana Wako Nina Ombi Moja Wala Sio Kulia
Mimi Mwana Wako Nina Hitaji Moja Silalamiki
Nitumie Na Mimi Tena Kwa Kisasi Hiki Bwana Ulivyomtumia Musa 
Nitumie Na Mimi Tena Kwa Kisasi Hiki Bwana Niwe Msaada Kwa Watu Wako
Inaniumanga Nkiona Watu Wanaumia Ayee
Inanichomanga Moyo Nikiona Mayatima Hawana Ba Kulala Saana
Inanikera Sana Nikiona Wachane Hawana Msaada Hayee
Umenipa Uwezo Uwezo Na Mamlaka Mamlakaaa

Yule Mtoto Wa Yesee Walikuwa Watoto Wengi Nyumbani Wote Hawakupatikana Ukamtumia Yule Wa Mwisho 
Aliyekuwa Ametupwa mbali Na Wenzake 
Akatumwa Kuwaona Wandugu Zake Kwenye Vita 
Akapata Ndugu Zake Wametukanwa Mpaka Na Mungu Wao  
Akapata Hasira Akauliza Ni Nani Mfilistini Asiyetahiriwa 
Leo Hii Mungu anayemtukana atanipa Kicho Chake 
.....
Mungu Wewe Ulisikia Maombi Yake
Mungu Wewe Ukamtumia Daudi Nitumie Tena Nami
Nitie Nguvu
Nitie Nguvu Niyashinde Majaribu Na Mabaya
Nitie Nguvu
Mwenye Nguvu Ni Wewe 
Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu 
Mwenye Mamlaka Ni Wewe
Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu
Usiyeshindwa Ni Wewe
Ni Wewe Tu Zaidi Yako Hakuna Mwengine
Mwenye Mamlaka Ni Wewe
Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu
Mwenye Utukufu Ni wewe 
Ni Wewe Tu Zaidi Yako Hakuna Mwengine

Nitie Nguvu Nitumie Mamlaka Ulonipa Bwana Wangu
Nitie Nguvu
Nitie Nguvu Niwe Msaada Kwa Watoto Wako Bwana Wangu
Nitie Nguvu
Mwenye Mamlaka Ni Wewe
Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu
Mwenye Utukufu wote wewe 
Ni Wewe Tu Zaidi Yako Hakuna Mwengine

Umenipaka Mafuta Kuwatangazia Wafungwa Huru Wao 
Umenipaka Mafuta Kuwakomboa Wote Waliopotea
Ulisema Nendeni Ulimwengu Mzima 
Mkatangazie Watu Wangu Habari Njema
Nifungue Macho Ya Ndani Niweze Kuona Mbali
Nifungue Fikira Za Ndani Niwaze Mausia Yako

Nitumie Mamlaka Ulonipa Ee Bwana 
Nitie Nguvu
Nitie Nguvu Niwe Msaada Kwa Mataifa Lako
Nitie Nguvu 
Mwenye Nguvu Na Uweza 
Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu
Mwenye Mamlaka Yote
Ni Wewe Tu Zaidi Yako Hakuna Mwengine
Ahaaaa
Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu
Usiyeshindwa
Ni Wewe Tu Zaidi Yako Hakuna Mwengine
Hakkuna Kama Wewe
Ni Wewe Tu Zaidi Yako Hakuna Mwengine


Nitie Nguvu Video

Nitie Nguvu Lyrics -  Kelsy Kerubo

Kelsy Kerubo Songs

Related Songs