Kwa Neema Lyrics - Deborah Lukalu

Deborah Lukalu swahili

Kwa Neema Lyrics

Kwa Neema Tunaishi Kwa Neema Bure
Kwa Neema Kwa Neema 
Kwa Neema Tunaishi Kwa Neema Bure
Kwa Neema Kwa Neema 

Watoto Wetu Wanaishi Kwa Neema Bure
Kwa Neema Kwa Neema 
If am Standing Its By His Your Grace 
Its by Your Grace By Your Grace
If I am Alive Its By Your Grace
Its by Your Grace By Your Grace

Kwa Neema Tunaishi Kwa Neema Bure
Kwa Neema Kwa Neema 
Kusala Huku Ee Baba Kwa Neema
Kwa Neema Kwa Neema  
Na Ndoa Hii Tunapata Kwa Neema
Kwa Neema Kwa Neema 
Watoto Wetu Wanaishi Kwa Neema Bure
Kwa Neema Kwa Neema 
Huku Kumeriland Ni Mpaka Kwa Neema Tunaishi Ee
Kwa Neema Kwa Neema 

Kwa Neema Tunaishi Kwa Neema Bure
Kwa Neema Kwa Neema 
Mafuta Hii Tunapata Kwa Neema 
Kwa Neema Kwa Neema 
Kazi Uko Nayo Ulipata Kwa Neema 
Kwa Neema Kwa Neema 
Mi Naishi Nimepata Kwa Neem Yake
Kwa Neema Kwa Neema
Pumzi Uko Nayo Ni Mpaka Kwa Neema Ya Yesu
Kwa Neema Kwa Neema
Pumzi Yetu Ni Mpaka Kwa Neema Yake
Kwa Neema Kwa Neema
Na Nyumba Ile Uko Unaishi Kwa Neema Yake
Kwa Neema Kwa Neema

Wewe Ndio Baba Yangu 
Wewe Ndio Baba Yangu 
Wewe Ndio Baba Yangu 
Wewe Ndio Baba Yangu 
You Are My Father 
You Are My Father 
You Are My Father 
Wewe Ndio Baba Yangu 
Wewe Ndio Baba Yangu 
You Are My Father 
You Are My Father 


Kwa Neema Video