Sifa Lyrics

Nafsi Yangu by Kelsy Kerubo cover art

Kelsy Kerubo - Nafsi Yangu Lyrics

Artist:
Kelsy Kerubo

Lyrics

Nafsi yangu mtumainie bwana
Uvumilivu usikushinde, bwana awe tegemeo
Kama vile Enoka , nyayo zako nizifwate
Nakuhitaji bwana nenda nami
Nafsi yangu mtumainie bwana
Uvumilivu usikushinde, bwana awe tegemeo
Kama vile Enoka , nyayo zako nizifwate
Nakuhitaji bwana nenda nami


Nakutegemea wewe mlinzi wangu
Unilinde vyema,uniongoze
Fariji nasfi yangu kwa kunitia nguvu
Nisimame nawe bwana..milele daima


Kivuli cha kiti chako ndio ngome yangu
Watosha mkono wako, ni ulizi wangu
Nafsi yangu, nakutazamia
Nitakwenda, nawe Yesu
Mkono wangu, uushike
Unene nami kwa upole
Niwe nawe bwana safarini


Nakutegemea wewe mlinzi wangu
Unilinde vyema, uniongoze
Fariji nasfi yangu kwa kunitia nguvu
Nisimame nawe bwana..milele daima
Nakutegemea wewe mlinzi wangu
Unilinde vyema, uniongoze
Fariji nasfi yangu kwa kunitia nguvu
Nisimame nawe bwana..milele daima
Nakutegemea wewe mlinzi wangu
Unilinde vyema, uniongoze
Fariji nasfi yangu kwa kunitia nguvu
Nisimame nawe bwana..milele daima


Video