Kelsy Kerubo - Asante Lyrics
Lyrics
Ingekuwa mimi,kama si neema yako Hapa nilipo singefika,kwa uwezo wangu Wengi wamepoteza maisha yao Si kwamba mi mtakatifu (Niliye mnyonge tena mdhaifu umenihifadi)
Asante Asante Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu Asante Asante Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu
Miaka mingi imeshapita Umenilisha kanivalisha Mafanikio nimeyaona, kweli wewe ni Mungu Katika huzuni zangu, wanifariji Sitapungukiwa na kitu (Niliye mngonge tena mdhaifu umenihifadhi)
Asante Asante Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu Asante Asante Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu Asante Asante Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu Asante Asante Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu
Video
Kelsy Kerubo-Asante(official music video) send ‘’skiza 5963897’’ to 811