Israel Mbonyi - Nimezikumbuka Lyrics
Lyrics
Chorus :
Nimezikumbuka siku za kale
Nakunyoshea mikono yangu bwana
Usifiwe
Nimeyatafakari matendo yako
Nashangaa tena, ni tamu sana kuwa
na wewe
Uliyatatua yote magumu
Nakosa usemi, Moyo unatosheka
Na wewe
Verse
Katika milima na ma boonde
Ulitembea na mi
Hata na miali ya moto
Haikunigu gusa kamwe
Nitatunza ahadi yako
Rohoni mwangu
Ili nisisahau kamwe
Ulio yatenda Maishani mwangu
Haya yatakua mema
Niyatangazie wote
Nikumbukapo ni paza ..
Paza Sauti, Nikuimbe.
Bridge :
Ulipo nitoa nashukuru, Shukuru
Nakushukuru, asante Bwana
Na hapa nilipo natosheka, tosheka
Nakushukuru , asante Bwana
Video
Israel Mbonyi - Nimezikumbuka