Natamani Nikae Hapa Uweponi Mwako
Unaposhuka Yesu Unikute Hapa
Natamani Nikae Hapa Uweponi Mwako
Unaposhuka Yesu Unikute Hapa
Sitamani Kutoka Hapa Madhabahuni Pako
Unaposhuka Yesu Unikute Hapa
Sitamani Kutoka Hapa Madhabahuni Pako
Unaposhuka Yesu Unikute Hapa
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana

Ndo Maana Daudi Mwenyewe alisema Nalifurahi Sana Waliponiambia Twende Nyumbani Mwa Bwana

Amani Inapatikana Nyumbani Mwa Bwana
Baraka Zinaanzia Nyumbani Mwa Bwana
Furaha Zinapatikana Nyumbani Mwa Bwana
Uponyaji Unapatikana Nyumbani Mwa Bwana
Majibu Yanapatikana Nyumbani Mwa Bwana
Nyumbani Mwa Bwana Kuna Furaha
Nyumbani Mwa Bwana Nyumbani Mwa Bwana Nyumbani Mwa Bwana Kuna Uzima
Eeh Natamani Nikae Hapa Nisichoke Hapa
Unaposhuka Yesu Ukutane Na Mimi
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Nainua Macho Yangu Natumaini Kwako Bwana
Nainua Macho Yangu Natumaini Kwako Yesu

Wakati Sina Natumaini Kwako Yesu
Wakati Sina Natumaini Kwako Mungu
Nikiwa Na Taabu Natumaini Kwako Mungu
Katika Magumu Natumaini Kwako Mungu
Najua Utafanya,Najua Utatenda
Najua Utafanya Nakungojea Hapa Mungu
Najua Utafanya,Najua Utatenda
Najua Utafanya Nakungojea Hapa Mungu
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Natumaini Kwako Mungu Wangu
Uniinue Kutoka Chini
Nategemea Kwako Mungu
Ni Wewe Tu Bwana Ni Wewe Tu Yesu
Ni Wewe Tu Bwana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Uniinue,Uniinue Uniinue Yesu Nipandishe Juu Sana
Ni Wewe Tu Bwana Ni Wewe Tu Yesu
Ni Wewe Tu Bwana
Hakuna Kama Wewe Yesu Yesu Yesu
Ni Wewe Tu Bwana Ni Wewe Tu Yesu
Ni Wewe Tu Bwana
Ni Wewe Tu Bwana Ni Wewe Tu Yesu
Ni Wewe Tu Bwana
Hakuna Kama Wewe Yesu Yesu Yesu