Lyrics
Verse 1
Umbali huu, amenileta Mungu
Sikufikiri kama nitafika
Umbali huu, amenifikisha Yesu
Sikufikiri kama nitafika
Chorus
Yale amenitendea
Ni mengi siwezi kuhesabu
Ni ushuhuda
Yale amenitendea
Ni mengi siwezi kuhesabu
Ni ushuhuda
Verse 2
Yale aliyofanya Yesu
Ni mengi siwezi kuhesabu
Ni ushuhuda
Yale amenitendea
Ni mengi siwezi kuhesabu
Ni ushuhuda
Chorus
Nina ushuhuda, ushuhuda
Nina ushuhuda, kwa aliyonitendea
Nina ushuhuda, ushuhuda
Nina ushuhuda, kwa aliyonitendea
Verse 3
Nikiiangalia nilikotoka
Naona giza na vumbi kubwa
Nikiiangalia nilikotoka
Naona giza na vumbi kubwa
Chorus
Umbali huu, amenileta Mungu
Sikufikiri kama nitafika
Umbali huu, amenifikisha Yesu
Sikufikiri kama nitafika
Bridge
Vitu hivi alivyoniipa Mungu
Sikufikiri kama nitapata
Ni ushuhuda, ni ushuhuda
Ni ushuhuda maishani mwangu
Chorus
Yale amenitendea
Ni mengi siwezi kuhesabu
Ni ushuhuda
Yale amenitendea
Ni mengi siwezi kuhesabu
Ni ushuhuda
Outro
Karatasi, karatasi alipo
Hakutosha kwa neno alilotenda Mungu
Wino, wino haupo
Wa kutosha kwa neno alilofanya Mungu
Naimba na furaha, nafurahi
Kwa yale aliyotenda kwa Mungu
Naimba na furaha, nafurahi
Kwa yale aliyonitendea Mungu
Ni ushuhuda, ni ushuhuda
Mwambieni ushuhuda maishani mwangu
Ni ushuhuda, ni ushuhuda
Naimba ni ushuhuda maishani mwangu