Sifa Lyrics

Umenikumbuka Na Mimi by Japhet Zabron cover art

Japhet Zabron - Umenikumbuka Na Mimi Lyrics

Artist:
Japhet Zabron
Album:
Umenikumbuka Na Mimi - Single
Official Release:
26 Jul 2026

Lyrics

[Intro]
(Kamala The Gospel)
(Zabron Singer)
Umenikumbuka na mimi


[Verse 1]
Umenikumbuka na mimi
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Nakushukuru
Umenikumbuka na mimi
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Bwana nakushukuru


[Verse 2]
Wengine wananishangaa
Nilivyokuwa na nilivyo sasa
Wengine wananishangaa
Machoni pao nimekuwa ushuhuda
Kama ni upendeleo
(Baba)
Upende leo
Kama ni upendeleo
(Baba)
Umenipendelea
Wewe uliniahidi
Sitobaki peke yangu
Kwa nyakati zote
Nisikate tamaa


[Chorus]
Kuna wengine
Hawajafika hapa nilipo
Kuna wengine
Wanaitafuta amani
Baraka ni kwako
Kibali ni chako
Imani ni kwako
Eh Baba
Baraka ni kwako
Kibali ni chako
Imani ni kwako
Eh Baba


[Bridge]
Umenikumbuka na mimi
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Nakushukuru
Umenikumbuka na mimi
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Bwana nakushukuru


[Verse 3]
Hakuna kitu chochote nilichonijipa mimi
Mwana umenipa wewe
Hivi vyote umenipa wewe
Bwana sina kitu chochote ninachoweza nikajipa mimi
Nitakulipa basi nini
Bila wewe mimi wa nini
Hivyo umenitakuwa sana mchoyo wa fadhila
Nisiposema nawe mungu
Nikose muda wa kusema asante
Na ndio maana nina ujasiri wa kukusifu Mungu
Kwa mema yako yasiyoisha
Ndio maana umenikumbuka na mimi


[Outro]
Umenikumbuka na mimi
Bwana umenibariki ni wewe
Maisha yangu ni wewe
Hivi nilivyo ni wewe
Hakuna mwingine mwenye kuweza wa zaidi yako
Wa zaidi yako Baba
Wewe wa upendo Yesu
Bila kupenda Baba
Asante Baba
Asante
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Nakushukuru
Umenikumbuka na mimi
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Nakushukuru
Umenikumbuka na mimi
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Nakushukuru
Umenikumbuka na mimi
Asante Baba
Umenikumbuka na mimi
Nakushukuru


Video