Sifa Lyrics

Asante Yesu by Japhet Zabron cover art

Japhet Zabron - Asante Yesu Lyrics

Artist:
Japhet Zabron
Album:
Nikumbuke
Official Release:
19 Mar 2022

Lyrics

Uuh, ulisimama katika upweke wangu
Uuh, ukaniongoza utakavyo niishi
Ukani elekeza jinsi yakuishina we
Na watu, watu pia wau limwengu huu
Vumilia mwangu, japo vikwazo njiani
Ukani sisitiza nikutazame Yesu
Kuku tegemea kukupenda
Kushika andiko lako
Kuomba chochote nipendacho
Niku tumaini wewe
Tangu nitii hayo nimeona uzuri wako
Matendo yako makuu, nakupenda Yesu


Asante Yesu, kwaa kwa pendo lako
Umeniifanya ni izisahau shida aahh
Nitaimba sifa, ni itakutukuza
Maisha yangu na ayakabidhi kwako bwana
Asante Yesu, kwaa kwa pendo lako
Umeniifanya ni izisahau shida aahh
Nitaimba sifa, ni itakutukuza
Maisha yangu na ayakabidhi kwako bwana


Uuh, uliniita katika mateso yangu
Ni ikakuhitaji, katika shida zangu
Kamwe hukuniacha wala haukuchelewa
Kujibu haja zangu nakupenda Yesu
Kwa maombi waponya, hata ninapo ugua
Bwana wanifariji katika huzuni eeh
Naukani fundisha upendo
Maana ni tabia yako
Umeinua heshima yangu
Umenipandisha juu
Ukanipa uzima ruhusa ya kutumika
Katika nyua zako siku achi bwana


Asante Yesu, kwaa kwa pendo lako
Umeniifanya ni izisahau shida aahh
Aah ntaimba sifa, nitakutukuza
Maisha yangu na ayakabidhi kwako bwana
Asante Yesu, kwaa kwa pendo lako
Umeniifanya ni izisahau shida aahh
Nitaimba sifa, ni itakutukuza
Maisha yangu na ayakabidhi kwako bwana


Video