Sifa Lyrics

Katikati ya Miungu (Hakuna Mungu Kama Wewe) by Efraim Ezekiel cover art

Efraim Ezekiel - Katikati ya Miungu (Hakuna Mungu Kama Wewe) Lyrics

Artist:
Efraim Ezekiel

Lyrics

Chorus


Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe (Mungu kama wewe) (x2)
Mungu kama wewe, Mungu kama wewe
Baba (Baba aah), Baba (Baba aah)
Yesu (Yesu uuu), Yesu (Yesu uuu)
Baba (x8)
Yesu (x8)
Roho (x8)


Verse 1


Katika ya mataifa yote sijaona Mungu kama wewe


Katika ya masitu yote sijaona mtenda miujiza kama wewe


Hakuna kama wewe Mungu wa Eliya Ooh
Hakuna kama wewe Mungu wa Isaka Ooh
Mungu wa Danieli Hakuna kama wewe


Credits & Song Information

Performed By
Efraim Ezekiel
Source verified · Efraim Ezekiel official YouTube channel

Add song information · Add a supporting source

Video

Meaning & Inspiration

Wimbo huu wa Efraim Ezekiel ni tamko la ibada linalosisitiza kwamba hakuna anayelinganishwa na Mungu. Rekodi inajenga ujumbe huo kwa kumtaja Baba, Yesu na Roho, kisha kurejea Eliya, Isaka na Danieli kama sehemu ya sifa yake.