Sifa Lyrics

Kwa Mungu Yote Yanawezekana  by Christopher Mwahangila cover art

Christopher Mwahangila - Kwa Mungu Yote Yanawezekana Lyrics

Artist:
Christopher Mwahangila

Lyrics

Niite Nami Nitakuitikia


Niite Nami Nitakuitikia


Niite Nami Nitakuitikia


Nitakuonyesha Mambo Makubwa 


Nitakuonyesha Mambo Makubwa 


Ambayo akili Yako Haiwezi


Ambayo Ufahamu Wako Hauwezi 


Niite Nami Nitakuitikia


Hii Maneno Anasema Mungu Mwenyewe 


Kwa Mungu Baba 


Kwa Mungu Yote Yanawezekana


Hakuna Jambo Ngumu


Hakuna Jambo Ngumu Linakushinda Mungu


Hakuna Kama Yeye


Kwa Mungu Yote Yanawezekana


Yeye Mwenye Nguvu 


Hakuna Jambo Ngumu Linakushinda Mungu 


Tatizo Lako Ni Lipi


Ambalo Mungu Hawezi Kulifanya


Shinda Yako Ni Ipi 


Ambayo Hawezi Kuifanya


Acha Kulia Anaweza Mungu 


Futa Machozi Anajibu Yesu


Acha Kulia Anaweza Mungu 


Futa Machozi Anajibu Yesu


Sauti Yake Batholomew Iliposikika Uponyaji Wake Ukapatikana 


Sauti Yake Batholomew Iliposikika Uponyaji Wake Ukapatikana 


Mbona Hayo Ya Kwako Kwa Munga Yanawekana


Kwa Mungu Yote Yanawezekana


Hakuna Jambo Ngumu


Hakuna Jambo Ngumu Linakushinda Mungu


Kwa Mungu Baba 


Kwa Mungu Yote Yanawezekana


Hakuna Jambo Ngumu


Hakuna Jambo Ngumu Linakushinda Mungu


Hakuna Kama Yeye


Kwa Mungu Yote Yanawezekana


Yeye Mwenye Nguvu 


Hakuna Jambo Ngumu Linakushinda Mungu 


Majibu Majibu Ya Daktari,Hayawezi Kumzuia Mungu Kufanya Jambo 


Maneno Maneno Ya Wanadamu,Hayawezi Kumzuia Mungu Kukubariki 


Maneno Maneno Ya Walimwengu Hayawezi Kumzuia Mungu Kukubariki 


Amini Mungu Anaweza Kufanya 


Amini Mungu Anaweza Kutenda 


Mungu Anasema Niite Nitaitika,Nitakuonyesha Mambo Makubwa Makubwa


Iita Usichoke Iita Usichoke Majibu Yako Yanapatikana Kwa Mungu  


Kwa Mungu Baba 


Kwa Mungu Yote Yanawezekana


Hakuna Jambo Ngumu


Hakuna Jambo Ngumu Linakushinda Mungu


Hakuna Kama Yeye


Kwa Mungu Yote Yanawezekana


Yeye Mwenye Nguvu 


Hakuna Jambo Ngumu Linakushinda Mungu 


Video