Nimeona wema wako maishani mwangu
Nimeona uzuri wako maishani mwangu
Nimeona wema wako maishani mwangu
Nimeona uzuri wako maishani mwangu
Umefanya mambo makubwa
Umefanya mambo ya ajabu
Umefanya mambo makubwa
Umefanya mambo ya ajabu.
Nimeona wema wako maishani mwangu
Nimeona uzuri wako maishani mwangu
Nimeona wema wako maishani mwangu
Nimeona uzuri wako maishani mwangu
Umefanya mambo makubwa
Umefanya mambo ya ajabu
Umefanya mambo makubwa
Umefanya mambo ya ajabu
Nimeona wema wako maishani mwangu
Nimeona uzuri wako maishani mwangu
Nimeona wema wako maishani mwangu
Nimeona uzuri wako maishani mwangu
Umefanya mambo makubwa
Umefanya mambo ya ajabu
Umefanya mambo makubwa
Umefanya mambo ya ajabu
Wema na fadhi li zako zitanifuata
Wema na fadhili zako zitanifuata
Wema na fadhili zako zitanifuata
Wema na fadhili zako zitanifuata
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Wema na fadhili zako zitanifuata
Wema na fadhili zako zitanifuata
Wema na fadhili zako zitanifuata
Wema na fadhili zako zitanifuata
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nami nitakaa nyumbani mwa bwana
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Ni mungu ni mungu
Ni mungu ni mungu
Ni mungu ni mungu
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila sehemu
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila sehemu
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Ni mungu ni mungu
Ni mungu ni mungu
Ni mungu ni mungu
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila sehemu
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Nilipo upo unaenda nami kila sehemu
Nilipo upo unaenda nami kila mahali
Ni mungu ni mungu
Ni mungu ni mungu
Ni mungu ni mungu